Kusikiliza hadithi kunaleta utamu! Njoo kaa nasi usikilize baadhi ya hadithi za Biblia katika Kinyiha! Umeshawahi kusikia hadithi ya mwanamke mmoja aliyeacha familia yake na kwenda ugenini na mwishoni akawa bibi mkuu wa mfalme Daudi?
Furahia kusikiliza!